Meridianbet

MWEZI WA ZAWADI KUBWA NDANI YA MERIDIANBET

Vardo June 18, 2026 11:01 pm

Mwezi huu Meridianbet imeamua kuwazawadia mashabiki wa kasino kupitia SmartSoft Spin & Win Instant Prizes Tournament yenye zawadi za fedha za papo hapo.

Kuanzia wakati huu hadi 28 Juni 2026, kila mchezaji anayeshiriki kwenye michezo ya SmartSoft ana nafasi ya kugeuza mchezo wa kawaida kuwa ushindi wa kipekee.

Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Weka dau la kuanzia kiasi cha TZS 300 au zaidi kwenye michezo inayoshiriki promosheni hii na unaweza kujipatia nafasi ya kuzungusha gurudumu la zawadi lenye zawadi mbalimbali za fedha.

Msisimko wa kuona gurudumu likizunguka huku ukisubiri zawadi yako ni sehemu ya burudani inayofanya mashindano haya kuwa tofauti na mengine.

Ingia Meridianbet sasa na ujionee mwenyewe jinsi mchezo mmoja unavyoweza kukuletea zawadi ya papo hapo.

PENALTI YA MOKOENA YAIPATIA AFRIKA KUSINI POINTI MUHIMU KOMBE LA DUNIA