Home Uncategorized Salimu Aiyee na kiboko ya Simba Sc wapo mtegoni.

Salimu Aiyee na kiboko ya Simba Sc wapo mtegoni.

Kagera Sugar na Mwadui Fc zimeingia katika hatua ya mtoano dhidi ya timu za ligi daraja la kwanza ili kuamua nani atabaki au atapanda Ligi Kuu.  Salimu Aiyee ni mfungaji bora kwa wazawa, lakini timu yake ipo hatarini kushuka daraja.

Tazama ratiba yao hapa chini, na endelea kufuatilia kandanda kujua ni timu zipi zitapanda.


Timu mbili zinasubiriwa kuungana na hizi 18

# Timu P F A GD Pts
0 Alliance FC 0 0 0 0 0
0 Azam FC 0 0 0 0 0
0 Biashara FC 0 0 0 0 0
0 JKT Tanzania SC 0 0 0 0 0
0 KMC FC 0 0 0 0 0
0 Lipuli FC 0 0 0 0 0
0 Mbao FC 0 0 0 0 0
0 Mbeya City FC 0 0 0 0 0
0 Mtibwa Sugar FC 0 0 0 0 0
0 Namungo FC 0 0 0 0 0
0 Ndanda FC 0 0 0 0 0
0 Polisi Tanzania 0 0 0 0 0
0 Ruvu Shooting 0 0 0 0 0
0 Simba SCSimba SC 0 0 0 0 0
0 Singida Utd FC 0 0 0 0 0
0 Stand Utd FC 0 0 0 0 0
0 Tanzania Prisons 0 0 0 0 0
0 Yanga SC 0 0 0 0 0

The post Salimu Aiyee na kiboko ya Simba Sc wapo mtegoni. appeared first on Kandanda.

SOMA NA HII  MBWANA SAMATTA AWASILI LEO