Home Uncategorized MZEE KILOMONI ATAKUFA YEYE, SIMBA ITABAKI – VIDEO

MZEE KILOMONI ATAKUFA YEYE, SIMBA ITABAKI – VIDEO



Simba wametoa ufafanuzi kuhusu suala la udhamini wa Mzee Kilomoni ndani ya klabu ya Simba huku wakisema kuwa Mzee Kilomoni siyo mdhamini hivyo atambuliki katika klabu hiyo huku wanasimba wakitaka waachane na maneno yake.

SOMA NA HII  KOCHA WA KMC ANASUBIRI MASAA TU KWA SASA KUTIMKIA AZAM FC