IMEELEZWA kuwa baada ya uongozi wa timu ya Polokwane FC inayoshiriki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini kufeli kuipata saini ya nahodha wa Simba, John Bocco, sasa wamegeuza kibao kwa kumtaka nyota mwingine akazibe nafasi ya Bocco.
Habari zimeeleza kwamba baada ya Uongozi wa Polokwane kushindwa kuipata saini ya Bocco sasa wamezungumza na uongozi wa Simba ili kuipata saini ya Adam Salamba.
Hivyo kama mambo yatakwenda sawa huenda mchezaji Salamba akatimkia kukipiga Polokwane FC.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.