Home Uncategorized WALIOMALIZA MIKATABA NA MAJEMBE MENGINE MAPYA HAWA HAPA , NI LISTI KAMILI-...

WALIOMALIZA MIKATABA NA MAJEMBE MENGINE MAPYA HAWA HAPA , NI LISTI KAMILI- VIDEO


YANGA imesajili wachezaji saba wa kigeni ambao ni mabeki, Lamine Moro (Ghana) na Mustapha Selemani (Burundi).

 Washambuliaji, Sadney Ukhob (Benin), Issa Bigirimana (Burundi), Patrick Sibomana (Rwanda), Juma Balinya (Uganda) na Kalengo Maybin (Zambia).

SOMA NA HII  AZAM, SIMBA NA YANGA ZAKUTANA KWA MFUMANIA NYAVU NAMBA MOJA LIPULI