Home Uncategorized BREAKING: AJIBU APIGWA PINI MAZIMA SIMBA Uncategorized BREAKING: AJIBU APIGWA PINI MAZIMA SIMBA By admin - July 3, 2019 0 IBRAHIM Ajibu amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu ya Simba akitokea Yanga.Ajibu msimu wa 2018-19 alikuwa kwenye ubora wake baada ya kutoa jumla ya pasi za mabao 17 na kufunga mabao sita.