Uncategorized

BAADA YA KUACHANA NA SIMBA, HUKU NDIPO ANAPOELEKEA NIYONZIMA

admin July 4, 2019 9:01 pm


Imeelezwa kuwa nyota wa Simba, Haruna Niyonzima yupo kwenye mazungumzo ya mwisho na klabu ya AS Vita ya Congo na APR ya Rwanda.

Niyonzima amewaaga mashabiki wa Simba na kusema kuwa hivi karibuni atataja timu atakayoenda huku tetesi zikieleza kwamba ana nafasi kubwa ya kutua Congo.

Imeelezwa kuwa timu hiyo iliutambua uwezo wa Niyonzima baada ya kucheza na timu ya Simba kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Mchezaji huyo ambaye aliwahi ia kuichezea Yanga alijiunga na Simba msimu wa 2016/17 baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika.

ISHU YA GADIEL MICHAEL YAZIDI KUSHIKA KASI, CHAMPIONI IJUMAA LINA MAJIBU BAADA YA KUMALIZANA NA SIMBA, KAHATA ATOA TAMKO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply