Uncategorized

LIVE: SIMBA 1-0 POWER DYNAMO

admin August 6, 2019 3:36 pm

MEDIE Kagere anawanyanyua mashabiki wa Simba dakika ya 03 kwa kupachika bao la kwanza akiwa ndani ya 18 baada ya mlinda mlango wa Power Dynamo kufanya uzembe kwenye urudishaji wa mpira.


Mchezo kwa sasa unaoendelea uwanja wa Taifa ni kati ya Simba na Power Dynamo ambapo mashabiki ni kama wote ndani ya uwanja wa Taifa.
DU! MASHABIKI WA SIMBA SASA HII SIFA, WAKOMBA TIKETI ZOTE ZA SPORTPESA SIMBA WIKI JESHI LA SIMBA AMBALO LIMEANZA LEO KWENYE MCHEZO WA KIRAFIKI WA KIMATAIFA DHIDI YA POWER DYNAMO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply