Home Uncategorized SIMBA WAWATAKA MASHABIKI WAKE WAISHANGILIE ZESCO UNITED

SIMBA WAWATAKA MASHABIKI WAKE WAISHANGILIE ZESCO UNITED

0

Uongozi wa klabu ya Simba kupitia Ofisa Habari wake Haji Manara, umewataka mashabiki wake kuipa sapoti Zesco United watakapocheza dhidi ya Yanga kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.