Uncategorized

U 17: TANZANIA 3-0 BURUNDI

admin January 12, 2020 1:41 pm


Tanzania 3-0 Burundi
Goool : Aisha Masaka dakika ya 7 na 10
Goaal: Joyce Meshack dakika ya 33

Mchezo kati ya timu ya Taifa ya Tanzania ya Wanawake U 17 dhidi ya Burundi unaendelea Uwanja wa Taifa.

Kwa sasa ni kipindi cha kwanza, mashabiki wamejitokeza kiasi chake uwanja wa Taifa kuipa sapoti timu ya Taifa, U 17.

Tanzania ipo mbele kwa mabao matatu yaliyopachikwa kimiani na Aisha Masaka 7 na 10 na la tatu limepachikwa kimiani na Joyce Meshack dakika ya 33.

Mchezo huu ni maalumu kwa ajili ya kuwania tiketi ya kufuzu kushiriki kombe la Dunia kwa Wanawake nchini India,2021.

VIDEO: MIAKA 56 YA MAPINDUZI CHEKI KOMANDO ALIVYOMWAGIWA PILIPILI TAZAMA MABAO YA TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE ‘TANZANIA VS BURUNDI’ (5-1) VIDEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply