Uncategorized

WOLVES WAMTAKA MMOJA KUTOKA ATLETICO MADRID

admin January 13, 2020 6:35 am


IMERIPOTIWA kuwa Thomas Lemar, mshambuliaji wa Atletico Madrid alijejiunga ndani ya kikosi hicho mwaka 2018 kwa dau la pauni milioni 52.7 anatazamwa kwa ukaribu na mabosi wa Wolves.
Habari zinaeleza kuwa Wolves imevutiwa na uwezo wa nyota huyo wana mpango wa kumuongeza kwenye kikosi chao kwenye dirisha dogo la usajili lililofunguliwa mwezi Januari mwaka huu.
Kutokana na harakati hizo tayari Atletico Madrid wameanza kumtafuta mbadala wake ili azibe pengo lake wakati akikamilisha dili la kusepa kwake.
MAZITO AYAFIKIRIA MBELGIJI WA YANGA KWA SASA, AINGIA VITANI NA SIMBA JUMLA MOND, HARMONIZE WAKOSA TUZO ZA MVP 2020, WASHINDI HAWA HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply