Uncategorized

ERIC DIER KUCHIMBISHA SPURS ASIPOKUWA BORA

admin February 14, 2020 6:07 pm

KOCHA Mkuu wa Tottenham Spurs, Jose Mourinho yupo kwenye mpango wa kutaka kumuuza kiungo mkabaji wake Eric Dier iwapo hatakuwa na msaada ndani ya timu hiyo.
Mkataba wa nyota huyo wa Spurs unameguka mwaka 2021 na mwenyekiti wa timu hiyo Daniel Levy anahitaji kumpata mchezaji mpya baada ya Christian Eriksen kusepa ndani ya timu hiyo.
Nyota huyo mwenye miaka 26 alisajiliwa kwa pauni milioni nne akitokea timu ya Sporting Lisbon.
Spurs ina mtihani mzito wa kumenyana na Astoon Villa ya Mbwana Samatta Februari 16 kwenye mchezo wa Ligi Kuu England unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kutokana na nafasi za timu zote mbili.

YANGA YAZIDI KULA ZA USO KUTOKA KAMATI YA MAADILI, IDADI PUNGUFU KIKAONI YAIBUA MSALA KOCHA LIPULI AINGIWA NA HOFU DHDI YA SIMBA, HAYA NDIYO AMEELEZA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply