Uncategorized

STAA WA SIMBA ATANGULIA MBELE ZA HAKI, SIMBA YAMLILIA

admin March 3, 2020 2:19 pm


DAMIAN Mrisho Kimti aliyekuwa mchezaji wa zamani wa Simba amefariki dunia Jana jioni, Machi 2.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na uongozi wa Simba imeeleza kuwa Kimti alikuwa miongoni mwa wachezaji waliocheza mchezo wa Fainali ya Ligi ya Ubingwa Afrika Mashariki 1992 pia alicheza mechi ya Fainali ya Kombe la CAF 1993 dhidi ya Stella Abidjan.


Aliyekuwa Mwenyekiti wa Simba, Hassan Dalali amesema kuwa amepokea taarifa hizo kwa mshtuko kutokana na ukaribu wake na mchezaji huyo ambaye alikuwa kipenzi cha mashabiki kutokana na kuwa na uwezo mkubwa wa kufunga.

Msiba wa nyota huo upo nyumbani kwakwe Kimara.

KUBETI KWAMPONZA STURRIDGE, FA, FA ZAMFUNGIA, KLABU YAKE YAMTEMA KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA MBAO FC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply