Uncategorized

MVUA YATIBUA MAMBO HUKO IRINGA MPAKA SHINYANGA, SALAMU ZIPO NAMNA HII

admin March 4, 2020 3:19 pm


Mechi ya Ligi Kuu Bara leo Kati ya Lipuli na Ndanda FC imeahirishwa kutokana na mvua kubwa kunyesha mkoani Iringa hali iliyosababishwa sehemu ya kuchezea Uwanja wa Samora kujaa maji.

Pia mchezo kati ya KMC v JKT Tanzania Uwanja wa Uhuru, Mwadui FC na Polisi Tanzania Uwanja wa Kambarage yote imeahirishwa kutokana na mvua.


Pia kutokana na hofu ya ugonjwa wa Corona wachezaji wameambiwa na Shirikisho la Soka la Mpira Tanzania (TFF) kutopeana mikono na badala yake watatumia njia mbadala.

AZAM V SIMBA NI VITA YA KIBABE HAYA HAPA KUONGEZA UTAMU WA VITA TAIFA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AZAM FC UWANJA WA TAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply