Uncategorized

NYOTA CHELSEA AGOMEA DILI LA KUTUA JUVE KISA KUHOFIA KUSHUKA KIWANGO

admin March 4, 2020 9:19 pm


JUVENTUS imepanga kumshusha kikosini winga wa Chelsea Willian Borges da Silva, lakini nyota huyo wa Brazil amegomea dili hilo


Inaelezwa kuwa nyota huyo hataki kujiunga na Juventus kwa kuhofia kiwango chake kushuka chini ya Kocha Mkuu, Maurizio Sarri.

Sarri alikuwa Kocha wa nyota huyo mwenye miaka 31 kwa sasa ambaye anaamini akitua Juve atashuka kiwango.


Anahitaji kuongezewa mkataba wa miaka miwili lakini Chelsea wanataka kumpa mwaka mmoja jambo ambalo hakubaliani na mabosi wake hao.

VIDEO: MAGOLI MATANO YA AZAM FC NA SIMBA, UTATA WA PENALTI NA KUOTEA MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply