Uncategorized

LIVERPOOL: WATFORD WALITUVURUGA KINOMA

admin March 5, 2020 2:05 pm


JURGEN Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool amesema kuwa kichapo cha mabao 3-0 walichokipata kwenye mchezo wa Ligi Kuu Englad kimewavuruga.

Liverpool imetolewa na Chelsea kwenye mchezo wa Kombe la FA England kwa kichapo cha mabao 2-0 ilitoka kupokea kichapo cha mabao 3-0 mbele ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu England ambao ulikuwa ni wa kwanza kwao kupoteza msimu huu baada ya kucheza mechi 27 bila kupoteza.

Klopp amesema: “Tulivurugwa vibaya na Watford wakati tukichapwa mabao 3-0, hawa Chelslea ilikwa kawaida tu ila nafikiri tutarudi kwenye ubora wetu na kufanya kazi kama tulivyokubalina,”.

YANGA:TUNAWATAMBUA AKINA MKUDE, CHAMA, HATUNA PRESHA VIDEO: YANGA WATENGEWA MIL 200 KUWAFUNGA SIMBA TAR 08, NUGAZ AFUNGUKA WALIVYOJIPANGA..

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply