Uncategorized

HESABU ZA SIMBA KWA YANGA ZIPO NAMNA HII KESHO

admin March 7, 2020 10:05 am

PASCAL Wawa beki wa Simba amesema kuwa wanapiga hesabu kubwa kuona namna gani watashinda mchezo wao mbele ya Yanga utakaochezwa Machi 8,2020, kesho Jumapili Uwanja wa Taifa.
Akizungumza na Saleh Jembe, Pascal Wawa amesema kuwa ushindani ni mkubwa na kila timu inahitaji ushindi na wao watapambana kuupata.
Wawa amesema:-: “Kazi ni kubwa na kila mechi tunaitazama kwa umuhimu wake wa kipekee ili kupata matokkeo, mechi yetu ya Yanga itakuwa ngumu ila tunazitaka pointi tatu zao,”.
Simba imefunga mabao 55, Wawa ambaye ni beki ametoa pasi moja ya bao lililofungwa na Meddie Kagere mwenye mabao 15.
MTIBWA SUGAR: TUNAZITAKA POINTI TATU ZA KAGERA SUGAR FLOYD MYWEAATHER ATAKA KUMFUNDISHA NGUMI WILDER AKAMNYOOSHE FURY

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply