Uncategorized

VPL:YANGA 0-0 SIMBA

admin March 8, 2020 2:27 pm

Uwanja wa Taifa: Yanga 0-0 Simba
Kipindi cha kwanza

Dakika ya 26 Jonas Mkude anaonyeshwa kadi ya njano 
Dakika ya 22 Erasto Nyoni anakwenda nje anaingia Kened Juma 
Dakika ya 11 Nchimbi anafanya jaribio la pili linatoka nje ya lango

Mnata anafanya save moja matata kwa YangaYanga wameanza kwa kasi na Simba imeingia ndani ya 18 mara moja
Yanga imepiga kona moja na kuingia kwenye 18 ndani ya dakika mbili za mwanzo

KIKOSI CHA SIMBA V YANGA LEO TAIFA, MANULA NDANI YANGA BABA LAO YAITUNGUA SIMBA YENYEWE YA KAGERE 1-0

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply