Uncategorized

NYOTA SIMBA: USHINDANI WA NAMBA HAUKWEPEKI DUNIANI KOTE

admin March 13, 2020 5:54 pm


GADIEL Michael, beki wa Simba amesema kuwa ushindani wa namba kwenye timu ni jambo la kawaida duniani kote na linaleta ukomavu kwa mchezaji.


Nyota huyo alijiunga na Simba akitokea Simba vita yake kubwa ya namba ni mbele ya bosi wake, Mohamed Hussein ambaye ni nahodha msaidizi.”

 Duniani kote huwezi kukwepa ushindani ni kitu ambacho kipo, ikitokea kuna mahali hakuna changamoto hapo hapawezi kukufanya uwe bora,” amesema.

Simba ipo nafasi ya kwanza kwenye msimamo ikiwa imecheza mechi 28 imejiwekea kibindoni pointi 71 na mabao 63.
WABELGIJI WOTE WA YANGA NA SIMBA WAFANYA YAO SASA, NI NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI HII NOMA, MUUAJI WA SIMBA AWAPIGA MKWARA WA MAANA WATANI ZAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply