Uncategorized

MWADUI FC WAISAMBARATISHA TANZANIA PRISONS

admin March 15, 2020 3:52 am


MWADUI FC jana Machi 14 wamesepa na pointi tatu mbele ya Tanzania Prisons kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara.

Wallace Kiango dk ya 12 alianza kuifungia bao timu yake ya Mwadui na Rapahael Aloba alimaliza kwa msumari wa ushindi dk ya 83 kwani bao la Samon Mbangula wa Prisons dk ya 90 halikuwazuia Mwadui kusepa na pointi tatu jumla.

Ushindi huo unaifanya Mwadui FF kuwa nafasi ya 12 wakijikusanyia pointi 34 kibindoni wamecheza mechi 28.

Tanzania Prisons wao wanakuwa nafasi ya 9 wakiwa na pointi 40 baada ya kucheza mechi 29.

KAGERE ATAJA ANACHOKIPENDA KUKIFANYA AKIWA NDANI YA UWANJA NAMUNGO: TUNAZITAKA POINTI TATU ZA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply