Uncategorized

VIONGOZI WA KLABU ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU ENGLAND KUKUTANA LEO, ISHU YA MIKATABA NAYO NI SHINIKIZO

admin March 19, 2020 5:42 am
IMEELEZWA kuwa nguvu kubwa kwa sasa inayotumika kuimaliza Ligi Kuu ya England kabla ya Juni 30 ni kutokana na kandarasi za wachezaji wengi kukaribia kukamilika.
Ligi Kuu ya England imesimamishwa mpaka Aprili 3 kutokana na kusambaa kwa virusi vya Corona na inaelezwa kuwa iwapo ligi hiyo itafutwa vinara Liverpool wasahau kupewa kombe lao.
Leo viongozi wakubwa wa timu zote zinazoshiriki Ligi Kuu England watakutana kujadili mpango wa kumaliza ligi yao na inatarajiwa kuanza kuendelea Aprili 4.
Imeelezwa kuwa kucheza kabla ya Juni kutaongeza nguvu kwa wachezaji kuendelea kupambana kutokana na mikataba ya wachezaji wengi kukaribia kuisha jambo litakaloongeza ugumu kwao kupambana ndani ya uwanja iwapo mikataba yao itakuwa imekwisha.
KUMBE FIRMINO ALITABIRIWA MAKUBWA TANGU MDOGO, WAZAZI WAKE WALIMZUIA KUCHEZA SOKA WAKIHOFIA ANGEKUJA KUWA KIBAKA SUALA LA CORONA TAHADHARI MUHIMU, TIMU ZIJIPANGE, FIGISUFIGISU HAZILETI AFYA KWENYE SOKA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply