Uncategorized

HAYA HAPA MATOKEO YA KOCHA MKUU WA YANGA, LUC EYMAEL KWA MECHI ZA LIGI KUU BARA

admin March 20, 2020 2:01 pm


Matokeo ya Luc Eymael baada ya kupewa majukumu ya kuwa Kocha Mkuu mechi za Ligi Bara yapo namna hii:-Januari 15, Yanga 0-3 Kagera Sugar.

Januari 13, Azam 1-0 Yanga.

Januari 22, Singida United 1-3 Yanga.

Februari 2, Yanga 1-0 Mtibwa Sugar.

Februari 5, Yanga 2-1 Lipuli.

Februari 8, Ruvu Shooting 0-1 Yanga.

Februari 2, Yanga 1-1 Mbeya City


Februari 15, Yanga 0-0 Prisons.

Februari 18, Polisi Tanzania 1-1 Yanga.

Februari 23, Coastal Union 0-0 Yanga.

Februari 29, Yanga 2-0 Alliance


Machi 3, Yanga 2-0 Mbao.

Machi 8, Yanga 1-0 Simba.

Machi 12, KMC 1-0 Yanga


Machi 15, Namungo 1-1 Yanga

KOCHA NDANDA AHOFIA VIJANA WAKE KUTOKA KWENYE RELI WANAMICHEZO, WASANII VITA YA CORONA INATUHUSU, TUIOKOE JAMII YETU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply