Uncategorized

AINSELY CORY HANA UHAKIKA NDANI YA ARSENAL

admin March 31, 2020 12:21 pm


AINSLEY Cory Maitland-Niles, raia wa Uingereza hana uhakika wa kubaki ndani ya kikosi cha Arsenal kwa sasa.
Mikel Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amekuwa hana mpango wa kumtumia nyota huyo kwenye mechi zake za hivi karibuni kabla Ligi Kuu England haijasimamishwa kutokana na kupisha janga la Virusi vya Corona.
Kiungo huyo mwaka 2015-16 alikipiga ndani ya Ipswich Town kwa mkopo ana umri wa miaka 22 alizaliwa Agosti 29,1997.
 Nyota huyo anakipiga kwenye timu ya chini ya miaka 23 ndani ya Arsenal ambapo amecheza mechi moja na hajafunga bao wala kutoa pasi ya bao.
HESABU ZA MBARAKA YUSUPH ZIPO NAMNA HII KUHUSU GADIEL MICHAEL NA ZIMBWE NDANI YA SIMBA SOMO LIPO HIVI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply