Uncategorized

HAALAD: LAZIMA TUUNGANE KUPAMBANA NA CORONA, USIJIHISI UPO PEKE YAKO

admin March 31, 2020 1:51 pm


NYOTA Erling Braut Haalad anayekipiga Dortmund kuhusu Virusi vya Corona ni lazima tuungane wote katika mapambano.

Virusi vya Corona vimekuwa janga la dunia ambapo kwa sasa shughuli nyingi zimesimama kupisha maambukizi zaidi ya Virusi hivi.

“Hili janga ni letu sote iwapo utajihisi upo peke yako katika kupambana nalo usifikirie hivyo, ni lazima tuungane katika mapambano.

“Tunahitaji utulivu wa akili na fikra kwenye mapambano haya ili tuweze kupita na kushinda salama.

“Nina amini Mungu wetu atatufanyia njia nasi tutatoka kwenye mtihani huu mgumu,” amesema.

KUHUSU GADIEL MICHAEL NA ZIMBWE NDANI YA SIMBA SOMO LIPO HIVI HIVI NDIVYO NYOTA WA KAGERA SUGAR ANAVYOLINDA KIPAJI CHAKE NA KUCHUKUA TAHADHARI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply