Uncategorized

SIMBA YAMPA PONGEZI KAHATA

admin March 31, 2020 10:51 am

UONGOZI wa Simba umempa pongezi Francis Kahata kwa kujitolea kwa jamii yake nchini Kenya.

Kahata ambaye kwa sasa yupo nchini Kenya alitoa msaada wa lita 10,000 za maji safi katika eneo la Mathare, jijini Nairobi ikiwa ni kwa ajili ya mapambano ya Virusi vya Corona.  

Ofisa Habari wa Simba Haji Manara amesema kuwa ni jambo la msingi kwa nyota huyo kuisaidia jamii jambo ambalo ni la msingi.

HII HAPA TIMU AMBAYO NYOTA GUSTAVO WA BRAZIL ALICHEZA MECHI NYINGI HESABU ZA MBARAKA YUSUPH ZIPO NAMNA HII

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply