Uncategorized

HIVI NDIVYO SVEN ANAVYOWAZA KUHUSU UBINGWA SIMBA

admin April 13, 2020 4:27 am
SVEN Vandenbroeck, Ko

cha Mkuu wa Simba amesema kuwa kwa sasa hesabu zake ni kuona timu inamaliza mechi zake ndipo itwae ubingwa kuliko kusubiri ubingwa wa mezani.

Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo Simba ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 71 baada ya kucheza mechi 28.

Sven amesema:”Jambo la msingi ni kuona kwamba tunacheza mechi zetu zote 10 kuliko kufikiria kupewa ubingwa kabla ligi haijaisha lakini suala la ligi kurejea halipo mikononi mwetu zipo mamlaka husika zinasimamia,”.

YANGA YA GSM YADHAMIRIA KUIBOMOA UD SONG..NUGAZ AMEFUNGUKA A-Z..!! MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply