Uncategorized

MBRAZILI WA SIMBA AJIPA JINA JIPYA, HILI HAPA

admin April 16, 2020 1:01 pm
GERSON Fraga, nyota wa Simba ambaye ni raia wa Brazil amesema kuwa mtindo wake wa ushangiliaji ni jina lake jipya ambalo amepewa na mashabiki pamoja na wachezaji wenzake.
Fraga amehusika kwenye mabao matatu kati ya 63 yaliyofungwa na Simba kwenye Ligi Kuu Bara msimu huu ambapo aliwafunga Coastal Union mabao mawili na KMC aliwatungua bao moja.
Akizungumza kuhusu mtindo wake wa kushangilia ambapo kila akifunga mabao alikuwa akionyesha mtindo wa mkasi kwa mikono alisema kuwa ni aina ya jina alilopewa ndani ya Simba.
“Nikifunga ninapishanisha mikono kwa spidi ikiwa inamaanisha kwamba mimi ni mkata umeme, namaanisha kwamba nimetoka kukata umeme,” amesema Fraga.
MTIBWA SUGAR; TIMU ZOTE ZIUNGANE KUPAMBANA NA CORONA MWAMNYETO, NYOTA ANAYEWINDWA NA SIMBA NA YANGA ATOA YA MOYONI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply