Uncategorized

LUKAKU NI YEYE NA NYAVU TU HUKO INTER MILAN

admin May 11, 2020 8:23 am


ROMELO Lukaku amekuwa kwenye moto mkali wa kucheka na nyavu baada ya kuibukia Inter Milan kutoka ndani ya Manchester United inayoshiriki Ligi Kuu England.

Ndani ya Inter Milan inayoshiriki Serie A Lukaku ambaye ni mshambuliaji ametupia mabao 17.

Timu yake ipo nafasi ya tatu baada ya kucheza mechi 25 kibindoni ina pointi 54.


HAWA NSIO SINGIDA UNITED NA MWENDO WAO VITA YA KIUNGO ANAYEWINDWA NA YANGA NI DHIDI YA NYOTA WAWILI, DAU LAKE ACHA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply