Uncategorized

REAL MADRID HAWANA MPANGO NA RAMOS

admin May 12, 2020 5:04 am
SERGIO Ramos nyota wa Klabu ya Real Madrid inaele

zwa kuwa timu yake haina mpango wa kumpa ofa ya mkataba mpya mshambuliaji huyo.

Ramos mwenye miaka 34 mkataba wake unameguka mwishoni mwa msimu huu na inaelezwa kuwa anaweza kuibukia kukipiga nchini China.

Alijiunga na Real Madrid nwaka 2015 akitokea Klabu ya Sevilla ambebakiza mabao tisa pekee ili kufikisha mabao 100 kwani kwa sasa amefunga jumla ya mabao 91 ndani ya Madrid.
Licha ya kuwa Kwenye ubora wake msimu huu akiwa na Klabu hiyo kwa kucheza mechi 34 na kutupia mabao saba bado halijawashtua mabosi wa Real Madrid.

MTUPIAJI WA ZAMANI WA YANGA TAMBWE ATAMANI KURUDI TENA KIKOSINI YIKPE MSHAMBULIAJI WA YANGA AOMBA APEWE MUDA KUONYESHA MAAJABU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply