Uncategorized

SIMBA WAANZA KUPIGA MATIZI LEO KUJIWEKA SAWA KWA AJILI YA LIGI NA KOMBE LA SHIRIKISHO

admin May 27, 2020 5:47 pm


SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba leo amekiongoza kikosi chake kuanza mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya kuelekea kumaliza mechi 10 zilizobaki za Ligi Kuu Bara pamoja na mechi za Kombe la Shirikisho.

Simba imefanya mazoezi leo katika uwanja wa Mo Simba Arena uliopo maeneo ya Bunju.

Masuala ya michezo yalisimamishwa na Serikali Machi 17 kutokana na janga la Virusi vya Corona kuvurugavuruga mambo.

Serikali imesema kuwa kwa sasa hali ya maambukizi imepungua hivyo shughuli za michezo zinatarajiwa kuanza Juni Mosi.

Kwenye ligi kuu bara Simba ni vinara wakiwa na pointi 71 baada ya kucheza mechi 28 na kwenye Kombe la Shirikisho wapo ndani ya timu nane ambazo zimetinga hatua ya robo fainali.

KAZI TAYARI IMEANZA YANGA, SIMBA NAKO KUMENOGA, KESHO NDANI YA SPOTIXTRA ALHAMISI MWILI WA MWALUSAKA,MCHEZAJI WA ZAMANI WA YANGA NA TIMU YA TAIFA YA TANZANIA WAAGWA LEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply