Uncategorized

ARSENAL YAITAKA TOP 4

admin June 10, 2020 4:47 am


KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta amesema kuwa kikosi chake kwa sasa kipo fiti zaidi ya kilivyokuwa awali. Malengo yao ni kuisaka Top 4.

Arteta amesema kuwa anaamini wachezaji wake watapambana kufikia malengo ambayo wamejiwekea kabla ya kumaliza msimu kutokana na morali waliyonayo.


“Wachezaji wapo vizuri na morali ni kubwa kwa kila mmoja kwa wakati huu ambao tunajiaandaa kurejea kwenye ligi, tupo tayari zaidi ya wakati uliopita,” amesema.

Arsenal kwenye msimamo ipo nafasi ya 9 kibindoni ina pointi zake 40.

KOCHA WA YANGA AKOSA DILI KISA KIINGEREZA YANGA WAIFUATA MWADUI FC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply