Uncategorized

SIMBA IPO KAMILI GADO KUVAANA NA MBEYA CITY KESHO

admin June 23, 2020 12:47 pm


UONGOZI wa Simba umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho utakaochezwa Uwanja wa Sokone majira ya saa 10:00 jioni.

Akizungumza na Saleh Jembe, Meneja Mkuu wa Simba, Patrick Rweyemamu amesema kuwa kila kitu kinakwenda sawa na wachezaji wapo tayari kwa ushindani.

“Wachezaji wanajua majukumu yao hakuna ambaye anafikiria kushindwa hivyo kazi kubwa kesho ni kusaka pointi tatu ndani ya uwanja, mashabiki wajitokeze kuona burudani,” amesema.

Simba ipo nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 75 baada ya kucheza mechi 30.

HASSAN KESSY KAMA KICHUYA TU MSIMBAZI..!! TAZAMA MSIMAMO WA LIGI KUU BARA, UTAELEWA MAANA YA TIMU ZA MAJESHI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply