Uncategorized
LIGI KUU TANZANIA BARA KIVUMBI KINAENDELEA LEO, RATIBA YA MECHI HIZI HAPA
Leo Julai 8, VPL ratiba yake ipo namna hii:-
Mbao v Mtibwa, Uwanja wa Kirumba.
Ndanda v JKT JKT Tanzania, Uwanja wa Nangwanda Sijaona.
Mbeya City v Polisi Tanzania, Uwanja wa Sokoine.
Biashara v Ruvu Shooting, Uwanja wa Karume.
KMC v Singida United, Uwanja wa Azam Complex.
Namungo v Simba, Uwanja wa Majaliwa.
Kagera Sugar v Yanga, Uwanja wa Kaitaba.

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.