Uncategorized

SIMBA YAIPIGA ALLIANCE FC MABAO 11

admin July 18, 2020 12:47 pm

ALLIANCE FC iliyo nafasi ya 14 kwenye msimamo ikiwa na pointi 21 baada ya kucheza mechi 35 haijawahi kusepa na pointi tatu mbele ya Simba.

Imepanda daraja msimu wa 2018/19 ambapo Kwenye mechi yao ya Kwanza walionja joto ya jiwe kwa kunyooshwa mabao 5-1.

Mchezo wa pili ikanyooshwa mabao 2-0. Msimu wa 2019/20 mchezo wa kwanza, Uwanja wa Kirumba, Simba ilishinda mabao 4-1.

Jumla Simba imeifunga Alliance mabao 11 na imefungwa mabao mawili ndani ya mechi tatu na kesho wanakutana Uwanja wa Taifa.

BEKI YANGA HATA HAELEWI SABABU YA KUTOPEWA NAFASI KIKOSI CHA KWANZA LUIS WA SIMBA AINGIA ANGA ZA TIMU KUTOKA URENO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply