Uncategorized

BREAKING:GIZA LATANDA KWA WACHEZAJI HAWA SABA NYOTA WA YANGA, PANGA LAWAKATA JUMLAJUMLA

admin August 3, 2020 3:47 pm


UONGOZI wa Yanga umeeleza kuwa umeachana rasmi na nyota wake saba kwenye kikao ambacho kmefanyika leo.

Wachezaji hao ni wale ambao mikataba yao ndani ya Klabu hiyo yenye maskani yake pale Janganwani imefika tamati na hawajaongeza dili jingine.

Hii hapa orodha ya wachezaji ambao wameachwa na Yanga hivyo hawatakuwa ndani ya kikosi kwa msimu wa 2020/21:-Papy Tshishimbi nahodha wa Yanga,  David Molinga mshambulaiji namba moja ambaye ametupia mabao 11 ndani ya kikosi na pasi moja ya baoa.

 Mrisho Ngassa winga aliyekuwa amewaka mwishoni mwa msimu na mchezo wake wa mwisho alihusika kutoa pasi kwa Molinga. Jaffary Mohamed kiraka rasta kichwani ,Tariq Seif.

Andrew Vincent beki mwenye manywele mwengi kichwani na Mohamed Issa maarufu kama Mo Banka.

ISHU YA SIMBA KUACHANA NA SVEN, UONGOZI WAWEKA KILA KITU BAYANA HII HAPA ORODHA YA WACHEZAJI 15, UHAKIKA KUPIGA YANGA 2020/21, MORRISON NDANI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply