Uncategorized

ORODHA YA WACHEZAJI WAPYA YANGA, MABEKI WAKIMBIZA

admin August 20, 2020 8:47 am

 

Majembe tisa mapya Yanga Kwenye ulinzi bi balaa wapo wanne cheki namna walivyo hapa:-

Mustapha Yassin beki kutoka Polisi Tanzania.

Zawadi Mauya kiungo kutoka Kagera Sugar. 

Kibwana Shomari beki wa kulia kutoka Mtibwa Sugar. 

Bakari Mwamnyeto beki kutoka Coastal Union. 

Abdallah Shaibu, ‘Ninja’ beki kutoka MFK ya Serbia.

Farid Mussa, kiungo kutoka CD Tenerife ya Hispania.

Wakigeni ni pamoja na:-

Tuisila Kisinda winga kutoka AS Vita.

Tonombe Mukoko kiungo mkabaji naye kutoka AS Vita.

Yacouba Sogne, mshambuliaji kutoka Klabu ya Asante Kontoko.

MAISHA MAPYA NDANI YA TIMU MPYA ILA URAFIKI WAO KITAMBO UNAENDELEA LUIS , KONDE BOY WA SIMBA KAENDA ZAKE KUOA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply