Uncategorized

VPL: SIMBA 2-0 BIASHARA UNITED

admin September 20, 2020 4:47 pm

 


Simba  2-0 Biashara United

Imeongezwa dakika 1

Dakika 45 zimekamilika 

Dakika ya 36 Bwalya anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 26 Chama Gooooal la pili kwa Simba

Dakika ya 20 Luis anapiga faulo inaokolewa na Mgore

Dakika ya 19 Simba wanapata faulo nje kidogo ya 18

Dakika ya 16, Ndemla anaingia kuchukua nafasi ya Fraga ambaye ameumia

Dakika ya 9, Chama anafunga Gooool la kwanza

Uwanja wa Mkapa

Uwanja wa Mkapa kwa sasa mchezo unaoendelea ni kati ya Simba na Biashara United kipindi cha kwanza.


Mashabiki wamejitokeza kwa wingi kushuhudia burudani

KIKOSI CHA BIASHARA UNITED KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA SABABU YA MUANGOLA WA YANGA KUANZIA BENCHI HII HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply