Uncategorized

MWENDO WA MBEYA CITY RAUNDI TANO NOMA, HAKUNA BAO MPAKA SASA

admin October 8, 2020 12:47 am

 


MBEYA City msimu wa 2020/21 baada ya raundi tano mambo yao yanakwenda namna hii kwa namba:-


KMC 4-0 Mbeya City,  Uwanja wa Uhuru.


Yanga 1-0 Mbeya City,  Uwanja wa Mkapa.


Mbeya City 0-1 Azam FC,  Uwanja wa Sokoine. 


Mbeya City 0-1 Namungo FC,  Uwanja wa Sokoine 


Mbeya City 0-0 Tanzania Prisons,  Uwanja wa Sokoine.


Nafasi ya 18 Kwenye msimamo pointi moja kibindoni 


Safu yake ya ushambuliaji idadi ya mabao ya kufunga ni 0.


Safu yao ya ulinzi idadi ya mabao ya kufungwa ni 7.

SABABU YA MANCHESTER UNITED KUWA TIMU NGUMU KWA WAPINZANI KUSHINDA YATAJWA NA MOURINHO PRINCE DUBE ANAPENDA CHAPATI NA UJI NDANI YA BONGO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply