Uncategorized

SIMBA KAZINI KESHO UWANJA WA AZAM COMPLEX, KIINGILIO BUKU 5

admin October 16, 2020 2:47 pm


 KESHO Oktoba 17 kikosi cha Simba kitashuka uwanjani kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege FC ikiwa ni kwa ajili ya kujiweka sawa na maadalizi ya Ligi Kuu Bara.


Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa majira ya saa 11:00 Uwanja wa Azam Complex.


Kiingilio kwenye mechi hiyo ya kirafiki kwa mzunguko ni 5,000 (buku tano ) huku VIP ikiwa ni 7,000.


 Mchezo wake wa ligi Simba itacheza na Kagera Sugar Oktoba 4, Uwanja wa Mkapa.

JINA LA KELVIN YONDANI LATAJWA YANGA KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply