Uncategorized

VIDEO: NAMNA YANGA WALIVYOMALIZANA NA KAZE

admin October 16, 2020 5:47 pm

 


NAMNA Kocha Mkuu wa Yanga Cedric Kaze alivyomalizana na Yanga kwa dili la miaka miwili leo Oktoba 16 akichukua mikoba ya Zlatko Krmpotic 


Kaze amesaini dili la miaka miwili baada ya kutua Bongo usiku wa leo akitokea nchini Canada ambapo alikuwa akiishi.

Krmpotic alifutwa kazi Oktoba 3 kutokana na mwendo wake kutowafurahisha mabosi wake wa Yanga ndani ya kikosi hicho na aliondoka timu ikiwa imecheza mechi tano na kushinda nne na sare moja ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Tanzania Prisons:-




KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO DODOMA JIJI YATOSHANA NGUVU NA MBEYA CITY LEO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply