Uncategorized

TFF YATOA TAMKO KUHUSU NAMNA INAVYOSHUGHULIKIA KESI

admin October 18, 2020 3:47 pm

 


SHIRIKISHO la Soka nchini (TFF) limeonesha kusikitishwa na baadhi ya taarifa zinazosambaa mitandaoni juu ya namna taasisi hiyo inashughulikia kesi zinazowasilishwa kwake na vilabu mbalimbali.

Aidha TFF itaendelea kusimamia haki kwa vile na taasisi inayoendeshwa kwa misingi na utawala bora, hivyo kama kuna upande hauridhishwi na uamuzi wa vyombo vya chini ya TFF, utaratibu ni kukata rufani ngazi ya juu ya TFF, Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) au Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo (CAS).


ISHU YA KATWILA KUBWAGA MANYANGA MTIBWA SUGAR IPO HIVI YANGA WABEBA IMANI KUBWA KWA KOCHA MPYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply