Uncategorized

MWINYI ZAHERA ASHUHUDIA TIMU YA GWAMBINA FC IKIGAWANA POINTI MOJA NA POLISI TANZANIA

admin October 19, 2020 5:47 pm


 MWINYI Zahera, Mkurugenzi wa Benchi la Ufundi ndani ya Klabubya Gwambina FC, leo Oktoba 19 alikuwa ndani ya Uwanja wa Sheik Amri Abeid akishuhudia timu yake ikigawana pointi mojamoja na Klabu ya Polisi Tanzania baada ya sare ya kufungana bao 1-1.


Stive Jimmyson alipachika bao kwa upande wa Gwambina FC huku lile la Polisi Tanzania likipachikwa na Hamad Ally na kuwafanya wagawane pointi mojamoja leo kati ya zile tatu walizokuwa wakizisaka.


Ushindi huo unaifanya Polisi Tanzania kuwa nafasi ya tano ikiwa na pointi 11 baada ya kucheza mechi sita huku Gwambina FC ikifikisha jumla ya pointi nane ikiwa nafasi 9  kwenye msimamo.


Safu ya Gwambina FC Kwenye mechi saba ilizocheza imefunga mabao matano huku  Polisi Tanzania ikiwa imefunga mabao saba Kwenye mech zao sita.

MTIBWA SUGAR YAIFUNGA BAO 1-0 NAMUNGO FC YANGA YAIVUTIA KASI POLISI TANZANIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply