Uncategorized

KIKOSI CHA SIMBA CHAANZA SAFARI KUIFUATA TANZANIA PRISONS, RUKWA

admin October 20, 2020 7:47 am

 


KIKOSI cha Simba leo Oktoba 20 kimeanza safari kutoka Mbeya kuelekea Rukwa kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Tanzania Prisons. 


Simba iliweka kambi kwa muda jana Oktoba 19 Mbeya na kilifanya mazoezi Uwanja wa Sokoine kwa ajili ya mchezo wa Oktoba 22 dhidi ya Tanzania Prisons. 


Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck ana kibarua cha kupambana na vijana wa Tanzania Prisons ambao wana hasira ya kupata pointi tatu mbele ya Simba baada ya kulazimisha sare ya kufungana bao 1-1 jana, Oktoba 19 dhidi ya JKT Tanzania, Uwanja wa Jamhuri.

MUANGOLA WA YANGA CARLINHOS MAJANGA HIYO NOVEMBA 7 KWA MKAPA KAZI ITAKUWA NZITO KWA KAZE V SVEN, CHEKI REKODI ZAO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply