Uncategorized

KANE AFIKISHA MABAO 200

admin November 7, 2020 12:47 pm


 NYOTA wa Klabu ya Tottenham Hotspur Harry Kane ameweka rekodi ya kufikisha jumla ya mabao 200 klabuni hapo.


Kane alifikisha idadi hiyo baada ya kufunga bao 1 kwenye ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Ludogorets kwenye Ligi ya Europa, Novemba 5.


Anakuwa ni mchezaji wa tatu kufikisha idadi ya mabao hayo ndani ya Spurs akiwa nyuma ya Bobby Smith mwenye mabao 208 na Jimmy Greaves mwenye mabao 266.


Kane ametupia jumla yamabao 12 kwenye michuano yote na ametoa jumla ya asisti 10.

NAMNA CHAMPIONI JUMAMOSI ILIVYOPANGA KIKOSI CHA KWANZA CHA YANGA LEO YANGA YATUPIA MABAO 11, SIMBA 21,CHEKI MWENDO WAO ULIVYO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply