Uncategorized

ISHU YA MABADILIKO NDANI YA SIMBA KUMBE SERIKALI HAIHUSIKI, YAWATAJA WANAOKWAMISHA MPANGO HUO

admin November 19, 2020 7:47 pm


SUALA la mabadiliko ndani ya Simba limeleta sura mpya baada ya Serikali kujibu mapigo ya viongozi wa timu hiyo ambao waliweka wazi kwamba wanakwamishwa na Serikali.


Simba kwa sasa ipo kwenye mchakato wa kuelekea kwenye mabadiliko ambao bado haijakamilika kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na viongozi wa timu hiyo kushindwa kukamilisha taratibu zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria.

Taarifa iliyotolewa leo Novemba 19 imeeleza namna hii:-



KESHO NDANI YA CHAMPIONI IJUMAA USIPANGE KUKOSA NAKALA YAKO MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply