Uncategorized

SHIRIKISHO: NAMUNGO 2-0 AL HILAL ELOBIED

admin December 23, 2020 2:47 pm


Mapumziko



Kombe la Shirikisho

Kipindi cha kwanza

Uwanja wa Azam Complex: Namungo 2-0 Al Hilal Elobied

Zinaongezwa dakika 2

Dakika 45 Kipa wa Al Hilal anaanzisha mashambulizi

Dakika ya 44 Kikoti anapiga kona inaokolewa na kipa 

Dakika ya 42 Sabilo anafanya jaribio akiwa ndani ya 18 linakwenda nje kidogo ya lango

Dakika ya 40 Nzigamasabo anapiga faulo inaokolewa na kipa

Goal Stephen Sey dk 30


Goal Sixtus Sabilo dk 13


Dakika ya 33, Hashim Manyanya anaingia Shiza Kichuya


Dakika ya 17 Nahimana alifanya save


Dakika ya 12 Sey alifanya jaribio halikuzaa matunda

YANGA YAGAWA DOZI KWA IHEFU, YAINYOOSHA MABAO 3-0 NA KUSEPA NA POINTI SIMBA WAPOTEZA KWA KUFUNGWA BAO 1-0 KIMATAIFA NA WAZIMBABWE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply