Uncategorized

YANGA YATOA NENO KWA NYOTA WAO SITA WALIOITWA STARS

admin December 30, 2020 6:47 am


 UONGOZI wa Yanga umewapa pongezi wachezaji wake sita ambao wameitwa kuunda kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania,  Taifa Stars kwa ajili ya maandalizi ya Chan, 2021.


Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa wachezaji walioitwa Stars wanastahili pongezi na wa kazi ya kufanya kwa ajili ya kutimiza majukumu ya Tanzania. 


Nyota hao walioitwa ni pamoja na Deus Kaseke, Mustapha Yassin , Ditram Nchimbi, Bakari Mwamnyeto, Feisal Salum  na Farid Mussa.

ORODHA YA NYOTA WATANO SIMBA WATAKAOTOLEWA KWA MKOPO ORODHA YA WACHEZAJI WATANO WA SIMBA WALIOITWA STARS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply