epl

WIJNALDUM KUTIMKIA BARCELONA

admin March 25, 2021 9:47 am


 IMERIPOTIWA kuwa kiungo wa Klabu ya Liverpool, Georginio Wijnaldum ameamua kusepa ndani ya Liverpool na anahitaji kujiunga na Klabu ya Barcelona.

Kiungo huyo raia wa Uholanzi anatajwa kukubali mkataba wa awali aliopewa na mabosi wa Barcelona.

Ikiwa usajili wake utakamilika mapema basi utakuwa ni usajili wa kwanza wa Barcelona chini ya Rais mpya Joan Laport ambaye anarudi hapo kwa mara ya pili.

Ndani ya Liverpool ambayo ina kwenda mwendo wa kinyonga ndani ya Ligi Kuu England mkataba wake unaisha mwishoni mwa msimu huu hivyo atakuwa mchezaji huru.

BOSI SIMBA: HATUACHI KITU KWA AS VITA BEKI WA BAYERN MUNICH, ALABA AKUBALI KUTUA REAL MADRID, OFA YAKE NOMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply