Yanga SC

SAIDO NTIBANZOKIZA AREJEA YANGA,TAYARI KUWAVAA KMC KWA MKAPA

admin April 5, 2021 9:47 am

 


JUMA Mwambusi, Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kurejea kwa Saido Ntibanzokiza kumeongeza ari ya kupambana kwa wachezaji wenzake. 


Kiungo huyo mshambuliaji raia wa Burundi alikuwa nje ya uwanja akitibu majeraha ya mgongo na alipopona alijiunga na timu ya taifa ya Burundi kuwania kusaka tiketi ya kufuzu Afcon.


Tayari ndoto ya Burundi kufuzu Afcon imeyeyuka kama majirani zao Tanzania hivyo amerejea kuendelea na kazi ndani ya kikosi cha Yanga.

ISHU YA HARUNA NIYONZIMA WA YANGA KUSTAAFU IPO HIVI ARSENAL YASHAURIWA KUMUWEKA KANDO AUBAMEYANG

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply