Yanga SC

VIDEO: MBATHA AFUNGUKIA KUHUSU KOCHA MPYA, ISHU YA NTIBANZOKIZA PIA

admin April 21, 2021 1:47 pm

SENZO Mbatha, Mshauri Mkuu wa Yanga kuelekea kwenye masuala ya mabadiliko amesema kuwa mchezo wa mpira ni kama Marathon kuna kupanda na kushuka hivyo bado wanaamini kwamba wanaweza kufanya vizuri kwenye mechi zao. Amezungumzia kuhusu kocha mpya kwa kueleza kuwa ni kocha mwenye uzoefu na wanaamini kwamba kila kitu kitakuwa sawa. 

 

KIKOSI CHA KAGERA SUGAR KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA SIMBA KOMBE LA SHIRIKISHO: NAMUNGO 0-3 RAJA CASABLANCA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply